Tamasha la tano la biashara – Zanzibar

Tamasha la tano la biashara

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara ya biashara na viwanda inapenda kuwaalika wafanya bishara na wenye viwanda Zanzibar katika TAMASHA LA TANO LA BIASHARA – ZANZIBAR litakalofanyika tarehe 2-15 januari 2019 Maisara Zanzibar , wizara inapenda kuwataarifu ya kwamba wafanya biashara na wenye viwanda watakaopenda kwenda kwenye tamasha hilo kwa ajili ya kuonesha na kutangaza biashara zao watatakiwa kujaza fomu maalum za maombi ambazo zinapatikana moja kwa moja kwenye mtandao huu hapo chini na afisi za wizara biashara na viwanda Migombani Zanzibar.

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali usisite kuwasiliana nasi:-

Simu : +255777798656 / +255777481214 / +255773318368

Barua pepe : khamson50@yahoo.co.uk, taifamasheko@gmail.com

Fomu za maombi

Fomu ya Kampuni venye usajili wa kigeni (Foreign Registered Company )

Fomu ya maombi ya kampuni kubwa za ndani

Fomu ya maombi ya kampuni ndogo za ndani

Karibuni kwenye tamasha letu

Daudi Banza

ZNCCIA Systems Administrator

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *